Madai ya wosia uliogushiwa
Madai ya kwamba wosia uliandaliwa wakati muusia hana akili timamu au kwa kulazimishwa.
Madai ya wosia kutokidhi sifa zinazohitajika.
Matumizi mabovu ya mali za marehemu na msimamizi wa mirathi.