Jinai ni kosa au makosa yanayofanywa na mtu/watu/taasisi kupitia watendaji wake, kinyume cha sheria au taratibu zilizoainisha makosa mbali mbali.