i. Iwe imetolewa na Mkuu wa Kituo cha polisi,hakimu au mtendaji;
ii. Lazima iwe na mhuri wa polisi, mahakama aumtendaji;
iii. Iwe imesainiwa;
iv. Lazima iwe na maelezo ya mtuhumiwa kama vile jina,
v. Ielezee tuhuma na sababu za kukamatwa nakufikishwa mbele ya vyombo vya sheria kujibu tuhuma