i. mtu atafanya tendo la kuvunja amani mbele yaaskari,
ii. mtu atamzuia askari polisi kufanya kazi zake, auatafanya jaribio la kutoroka au atatoroka kutokachini ya ulinzi,
iii. mtu ataonekana kuwa na mali ya wizi auinayoshukiwa kuwa ya wizi,
iv. mzururaji au mtu anayezurura kwa nia ya kufanyauhalifu,
v. mtu anayehisiwa kuwa hati ya kukamatwaimeshatolewa dhidi yake,
vi. mtu yeyote ambaye amefanya kosa nje ya Tanzaniana kuna uwezekano wa kuadhibiwa ndani yaTanzania,
vii. mtu anayedharau nembo ya taifa kama vile wimbowa Taifa au Bendera ya Taifa