i. kulinda amani na utulivu katika nchi,
ii. kuwatia nguvuni na kuwaweka watuhumiwa chiniya kizuizi (mahabusi),
iii. kuwafikisha watuhumiwa mahakamani,
iv. kupepeleza mashauri ya watuhumiwa,
v. kutoa ushahidi mbele ya mahakama dhidi yawatuhumiwa wa makosa ya jinai, na
vi. kusaidia katika majanga ya kitaifa.