Hatua ya kukamatwa hadiadhabu hupitia hatua zifuatazo:
i. Kukamatwa kwa Mtuhumiwa
ii. Upelelezi wa Makosa ya Jinai
iii. Upelekaji wa Mashauri ya Jinai Mahakamani
iv. Uendeshaji Mashauri ya Jinai Mahakamani
v. Dhamana
vi. Ushahidi Mahakamani
vii. Hukumu itolewayo na Mahakama
viii. Adhabu
ix. Rufaa