Askari polisi au mtu yeyote anayekamata mtuhumiwaharuhusiwi kutumia nguvu au/na silaha dhidi ya mtuhumiwa Zaidi ya kuhakikisha kuwa hatoroki.