i. Kutii sheria pasipo shuruti;
ii. Kutii amri halali ya polisi wakati anatiwa nguvuni.
iii. Kujibu maswali atakayoulizwa na polisi au mtuyeyote anayemkamata.
iv. Kutoa taarifa sahihi ambazo atatakiwa kutoa mbeleya askari polisi au mtu yoyote anayemkamatazinazohusiana na kutendeka kwa kosa la jinai aukushiriki kwake katika kosa la jinai.
v. Kutoa ushirikiano mbele ya polisi.