Upelelezi hulenga kujibu mambo yafuatayo; -Tukio limetokea wapi -Limetokeaje -Limetokea wakati gani -Nani ni mhusika wa tukio hilo na kwa nini ametenda tukio hilo Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana Nasi