Uhakika wa mtuhumiwa kufika mahakamani sikuatakayotakiwa kufanya hivyo. Katika kujiridhishana kigezo hiki, askari polisi huzingatia yafuatayo;
i. Historia ya maisha ya mtuhumiwa na mahusianoyake na jamii au, ajira yake
ii. hali ya familia yake, na
iii. Kumbukumbu/rekodi au habari za maisha yaketoka kwa polisi.
Mazingira ya kosa au tuhuma.
Maslahi ya mtuhumiwa, yaani:
i. Kipindi atakapotakiwa kukaa mahabusu kamadhamana itakataliwa ikiwa ni pamoja namazingira ya mahabusu penyewe,
ii. Mahitaji au haja ya mtuhumiwa kuwa nje kwalengo la kuandaa utetezi wake au kufika kwakemahakamani, ikiwa ni pamoja na kupata ushauriwa kisheria na uwakilishi mahakamani,
iii. Mahitaji ya kiusalama ya mtuhumiwa ambayoyanaweza kutokana na ulevi wa kupindukia,majeraha au matumizi ya madawa ya kulevya,
Usalama wa jamii hasa uwezekano wa mtuhumiwakuharibu ushahidi kwa kuwatisha mashahidi aukuwazuia polisi kufanya upelelezi.