i. Mtuhumiwa kujidhamini kimaandishi aukuthibitisha kwa maandishi kwamba atafikamahakamani siku na muda uliopangwa.
ii. Mtuhumiwa kuhakikisha kimaandishi kwambaatazingatia na kufuata masharti ya dhamanaatakapokuwa nje.
iii. Mtu mwingine anayeaminika mbele ya askari polisianaweza kumdhamini mtuhumiwa.
iv. Uwezo wa mtuhumiwa au mdhamini kulipa kiasicha fedha endapo mtuhumiwa atashindwa kufikamahakamani siku iliyopangwa kusikiliza shaurilake.