Je, dhamana ya polisi inaweza kufutwa? Na ni katika mazingira yapi? -Mtuhumiwa haonekani, yaani mtoro au; -Ameshindwa au anaelekea kushindwa kuzingatiamasharti ya dhamana. Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana Nasi