Ndio, inaweza kutolewa kwa mtuhumiwa yeyote isipokuwa yule aliyetuhumiwa kufanya makosa yafuatayo;
i. Mauaji;
ii. Uhaini;
iii. Wizi wa kutumia silaha kubwa za moto;
iv. Kufanya biashara ya madawa ya kulevya ambayoyametajwa katika sheria ya Kuzuia Madawa ya Kulevya.