i. itathibitika kwamba mtuhumiwa amewahikutumikia kifungo kinachozidi miaka mitatu.
ii. itathibitika kwamba mtuhumiwa amewahi kupewadhamana lakini akakiuka masharti ya dhamana hiyo.
iii. mahakama itaona kwamba ni vema mtuhumiwaasipewe dhamana kwa sababu.