i. Kusalimisha hati ya kusafiriakwa polisi au vyombovingine husika.
ii. Kumzuia mtuhumiwa kusafiri nje ya eneo maalumu.
iii. Kumtaka mtuhumiwa kuripoti kwenye kituo chapolisi kwa muda maalumu.
iv. Kumzuia mtuhumiwa asionekana au kutembeleamaeneo maalumu.
v. Masharti mengineyo ambayo mahakama itaonainafaa.