i. Mdhamini wake au mtuhumiwa kusaini na kuingiamakubaliano na polisi au ofisi na Mkurugenzi wa Mashitaka, TAKUKURU au Ofisi ya MwanasheriaMkuu wa Serikali kwamba atahudhuria mahakamanisiku anayotakiwa.
ii. Mara baada ya kusaini au kuingia makubaliano hayona vyombo husika kama
ilivyoelezwa hapo juu basimtuhumiwa atatoka kwa dhamana kama atakuwayuko gerezani au mahabusu.