Kuhakikisha mtuhumiwa anayedhaminiwa anafanya yafuatayo:
i. anatimiza masharti ya dhamana na kuhudhuriamahakamani kama inavyotakiwa kufanya.
ii. endapo mtuhumiwa atakiuka masharti ya dhamana,na hasa pale anapotoroka, itabidi mdhamini kulipakiwango cha dhamana alichojifunga.
iii. kuwa tayari kukamatwa kwa mali zake endapomdhamini atashindwa kulipa kiwango cha fedha yadhamana.
iv. ikiwa itashindikana kulipa kiwango cha dhamanakuwa tayari kuhukumiwa kutumikia kifungokisichopungua miezi 6 (Sita).