i. Alikuwa haelewi analolifanya wakati anatenda kosala jinai.
ii. Alishindwa kujitambua au kutambua kwamba
iii. Hakupaswa kufanya yale aliyofanya.
iv. Hakuwa na uwezo wa kuzuia au kudhibiti kosalisifanyike.