i. maneno yaliyotamkwa au kitendo kilichofanywa si kosa la jinai na ni halali kisheria.
ii. kosa la jinai lililofanywa linatokana na ushawishi, kusisimka na jazba ambazo zimetokana na mtu mwingine au matendo ya mtu mwingine.
iii. itathibitika kwamba kitendo hicho hakikuwa halali na ni kinyume cha sheria.