i. kumwachia huru mshitakiwa kwa kutokuwa na hatia, pale upande wa mashitaka unaposhindwa kuthibitisha mashitaka na utetezi wa mshitakiwa kukanusha mashitaka hayo.
ii. kumtia hatiani mtuhumiwa na kumhukumu kutumikia adhabu, kama upande wa mashitaka utathibitisha mashitaka dhidi ya mshitakiwa pasipo shaka yoyote na utetezi wake kushindwa kukanusha mashitaka hayo.