i. Adhabu ya kifo kwa makosa ya mauaji, uhaini na kusababisha mgomo katika jeshi la wananchi.
ii. Kulipa Faini
iii. Kulipa Fidia
iv. Kifungo cha Gerezani au cha nje
v. Kuchapwa Viboko
vi. Kutaifisha au kunyang’anya mali
vii. Kuwa chini ya matazamio ya kutotenda kosa ndani ya muda maalum
viii. Kuwa chini ya Afisa Ustawi kwa kufanya shughuli za mafunzo maalum
ix. Kutumikia jamii