Je, kukata rufaa au kuomba mrejesho ni haki ya mshtakiwa? Haki ya kukata rafaa, kuomba marejeo au kuombamapitio ni haki ya kikatiba na kila mshitakiwaanastahili haki hiyo. Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana Nasi