Nani anapaswa kulipia kodi ya ardhi? Mtu, yeyote anayemiliki ardhi iliyopimwa kisheria iwe imeendelezwa au haijaendelezwa anapaswa kulipa kodi ya pango. Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana Nasi