Je, kodi ya ardhi hulipwa wakati gani? kodi ya ardhi hulipwa mwaka wa fedha wa Serikali unaoanza tarehe 1 mwezi wa saba kila mwaka. Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana Nasi