Kama mkataba wa ajira unaweza kusitishwa kwa notisi, muda wa notisi hautakuwa pungufu ya;
a) Siku 7, kama notisi inatolewa katika mwezi wa kwanza wa ajira
b) Siku 4 kama mfanyakazi ameajiriwa kwa msingi wa kulipwa kwa siku au wiki.
c) Siku 28 kama mfanyakazi ameajiriwa kwa msingi wa kulipwa kwa mwezi.