Je notisi ya kusitisha ajira inatakiwa iweje? Notisi ya kusitisha ajira itakuwa kwenye maandishi, ikieleza sababu ya kusitisha na tarehe ambayo notisi inatolewa. Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana Nasi