Je mtoto ana haki ya kukana uraia? Kwa mujibu wa kifungu namba 13 cha sheria ya uraia, mtoto hana haki ya kukana uraia. Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana Nasi