Je mtoto anaweza kutumikia kifungo cha gerezani? Kwa mujibu wa kifungu namba 119 (1) cha sheria ya mtoto, mtoto hawezi tumikia kifungo cha gerezani. Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana Nasi