Je mtoto anaweza kuhukumiwa kunyongwa? Kwa mujibu wa kifungu namba 26(2) cha sheria ya makosa ya jinai, mtoto hawezi kuhukumiwa kunyongwa. Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana Nasi