Kwa mujibu wa kifungu namba 47 cha sheria ya mtoto, amri ya uangalizi maalumu wa mtoto unaweza koma endapo
Mtoto akitimiza umri wa miaka kumi na nane
Mtoto akifariki kabla ya kutimiza umri wa miaka 18
Mtoto akiajiriwa.