Yafuatayo yanaweza kubatilisha ndoa: a) Kutokuwa na uwezo wa kushiriki tendo la ndoa b) Mmoja wa wanandoa kudhihirika kuwa na kichaa au kifafa. c) Mmoja wa wanandoa kudhihirika kuwa alikuwa ana ugonjwa wa zinaa d) Mke kudhihirika kuwa alikuwa na mimba ya mwanaume mwingine. e) Mwanandoa mmoja kukataa kwa makusudi kufanya tendo la ndoa baada ya ndoa kufungwa