Wosia wa mdomo ni lazima uzingatie yafuatayo; -Wosia ushuhudiwe na mashahidi wanne, wawili wawe wa ukoo na wawili wawe watu baki. -Muusia awe na akili timamu. -Kama mashahidi watakufa kabla ya muusia basi wosia huo hautakubalika.