-Nakala ya cheti cha kifo cha marehemu -Nakala ya kikao cha wanandugu cha kumchagua msimamizi wa mirathi -Tamko la mwombaji kwamba atasimamia mirathi kwa uaminifu -Kiapo cha wanandugu kwamba wamemteua mwombaji kuwa msimamizi wa mirathi -Kiapo cha mashahidi wakimdhamini mwombaji na kwamba wako tayari kutoa fidia endapo mwombaji atashindwa kusimamia vizuri ugawaji wa mali hizo.