Mahakama zenye mamlaka kusikiliza mashauri ya ndoa ni a)Mahakama ya Mwanzo b)Mahakama ya Wilaya c)Mahakama ya Hakimu Mkazi na d)Mahakama Kuu Mahakama hizi zote zina mamlaka sawa , yaani mtu anaweza kufungua shauri lake katika mojawapo ya mahakama hizo.