-Nakala ya muhtasari wa kumbukumbu wa kikao cha ukoo. -Nakala ya wosia, iwapo marehemu aliacha wosia. -Majina ya warithi halali wa mali za marehemu -Cheti cha kifo -Cheti cha ndoa, iwapo marehemu aliacha mke/mume -Vyeti vya kuzaliwa vya watoto -Taarifa muhimu za marehemu: majina, tarehe ya kufariki, jina la mwombaji, orodha ya mali alizoacha marehemu -Nakala au taarifa zozote zitakazo hitajika mahakamani