Wakati wa kumkamata mtuhumiwa, hatakiwi kuteswaau kuwekwa kwenye mazingira au hali ngumu zaidi yakumzuia asitoroke.